Health Plan
UCHOVU USIOELEZEKA, UZITO UNAOKATAA KUSHUKA, NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA: Je, Mwili Wako Unakuomba Kutoa Sumu
Uchovu usioisha, tumbo kujaa gesi, uzito unaokataa kushuka na magonjwa yanayojirudia mara nyingi siyo bahati mbaya—ni ishara kuwa mwili wako umelemewa na sumu na ini limechoka. Detox sahihi siyo kufunga…
Join other students
About This Course
Uchovu usioisha, tumbo kujaa gesi, uzito unaokataa kushuka na magonjwa yanayojirudia mara nyingi siyo bahati mbaya—ni ishara kuwa mwili wako umelemewa na sumu na ini limechoka. Detox sahihi siyo kufunga kula bila mpango, bali ni kuandaa mwili, kulinda ini, na kuurejesha katika hali yake ya asili. Ukichelewa kuchukua hatua, dalili huongezeka; ukianza sasa, mwili huanza kujirekebisha.
Curriculum
JE, MWILI WAKO UNAKUOMBA KUTOA SUMU?
15 minCourse Features
- Access on Mobile & Desktop
- Certificate of Completion
- Lifetime Access
- Instructor Support