Immunikids Gummies
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Gummies (Peremende/Pipi)

Immunikids Gummies

4.9 (128 Reviews)
IMMUNIKIDS GUMMIES Aina ya Bidhaa Virutubisho Lishe kwa Watoto (Gummies) IMMUNIKIDS GUMMIES ni virutubisho vya kisasa vya watoto vilivyotengenezwa kwa mfumo wa pipi laini (gummies), vinavyosaidia kuimarisha kinga ya mwili, afya ya ukuaji na ustawi wa mtoto kwa ujumla. Packaging Chupa (Bottle) yenye gummies zenye ladha nzuri inayopendwa na watoto Muonekano wa kuvutia na salama kwa matumizi ya watoto Imefungwa kitaalamu kulinda ubora wa virutubisho Rahisi kubeba na kuhifadhi IMMUNIKIDS GUMMIES HUSAIDIAJE? Faida Kuu za IMMUNIKIDS GUMMIES Huimarisha kinga ya mwili wa mtoto dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara Hupunguza kuumwaumwa mara kwa mara (mafua, kikohozi, homa) Husaidia ukuaji bora wa mwili na akili Huongeza nguvu na uchangamfu wa mtoto Husaidia hamu ya kula kwa watoto wanaokosa appetite Huboresha afya ya mifupa na meno Husaidia kumbukumbu na umakini wa mtoto shuleni Hupunguza uchovu wa mara kwa mara kwa watoto Husaidia mwili wa mtoto kujilinda dhidi ya maambukizi Huchangia usingizi mzuri na utulivu wa mtoto NANI ANAPASWA KUTUMIA IMMUNIKIDS GUMMIES? Watoto wanaougua mara kwa mara Watoto wanaokosa hamu ya kula Watoto walio na kinga dhaifu Watoto wanaochoka haraka au kukosa nguvu Watoto walioko shule na hukutana na maambukizi kirahisi Watoto wanaohitaji msaada wa ukuaji wa afya na akili NAMNA YA MATUMIZI (RECOMMENDATION) Dozi: Gummy 1–2 kwa siku (kulingana na umri wa mtoto) Muda Bora wa Matumizi: Baada ya chakula Matokeo Bora: 👉 Tumia kwa siku 90 mfululizo bila kukatisha Matokeo Yanayotarajiwa kwa Mpangilio wa Siku 90 Siku 1–15: Mwili unaanza kujijenga kinga, mtoto anaanza kuwa mchangamfu Mwezi 1: Kuumwaumwa kunapungua, hamu ya kula inaongezeka Miezi 2: Kinga ya mwili inakuwa imara, mtoto ana nguvu na afya bora Miezi 3: Ulinzi wa muda mrefu wa kinga, ukuaji na afya ya mtoto huonekana wazi BEI ZA IMMUNIKIDS GUMMIES Siku 15: Tsh 110,000 Mwezi 1: Tsh 220,000 Miezi 3: Tsh 660,000 ⭐ (Inapendekezwa zaidi kwa matokeo ya kudumu) KWA NINI CHAGUA IMMUNIKIDS GUMMIES? Mfumo wa gummies unaopendwa na watoto (hakuna kulazimisha kumeza tembe) Salama kwa matumizi ya kila siku ya watoto Hutoa msaada wa kinga kwa muda mrefu Inafaa kutumika kama kinga na pia kama msaada wa afya kwa watoto Matokeo bora yanapo tumika kwa mpangilio wa siku 90 IMMUNIKIDS GUMMIES – Kinga Imara, Mtoto Mwenye Afya Njema na Furaha Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093

TSH 110,000

  • Category Gummies (Peremende/Pipi)
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-2019e0b5-8dc2-4a21-9744-4dfa5890d401

You May Also Like