Liven Alkaline Coffee- Latte
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)

Liven Alkaline Coffee- Latte

4.9 (128 Reviews)
Liven Alkaline Coffee Latte – Product Sheet Jina la Bidhaa: Liven Alkaline Coffee Latte Brand: Alliance In Motion Global (AIM Global) Aina: Kawa ya Latte yenye alkaline properties Packaging: 1 pack = 15 sticks (poda ya latte ya alkaline, rahisi kuandaa) Maelezo ya Bidhaa Liven Alkaline Coffee Latte ni kahawa ya kipekee iliyoundwa kwa mchanganyiko wa ladha laini ya latte na alkaline minerals. Inasaidia kusawazisha pH ya mwili, kuongeza nishati na kuimarisha mfumo wa kinga bila kuathiri afya ya figo na ini. Mapendekezo ya Matumizi Tumia kikombe kimoja kwa siku. Kwa matokeo bora, tunapendekeza programu ya siku 90 mfululizo: Jinsi ya kuandaa: Tumia Sachet moja ya Liven Alkaline Coffee Latte kwenye kikombe. Mimina maji ya moto (au maziwa kidogo kama unapendelea latte creamy). Changanya vizuri hadi poda iwe na mousse laini. Kunywa polepole, asubuhi au mchana. Faida Kuu za Liven Alkaline Coffee Latte Inasaidia kusawazisha pH ya mwili – kupunguza uchachu wa mwili na kuimarisha afya ya ndani. Kuongeza nishati na kuondoa uchovu – inakufanya uwe na nguvu za kudumu siku nzima. Kuimarisha mfumo wa kinga – mwili unakuwa tayari kupambana na magonjwa. Kusaidia mmeng’enyo wa chakula – kupunguza tumbo kujaa, gesi na kuvimba. Kupunguza uvimbe na sumu mwilini – alkaline minerals husaidia detox. Kusaidia kudumisha afya ya ini na figo – bila kuathiri kazi ya viungo hivi. Ina antioxidants – husaidia kuondoa radicals zinazoharibu seli. Ina ladha laini na creamy – inafaa kwa wale wanaopenda kahawa yenye ladha ya latte bila kuongezwa sukari nyingi. Inaongeza mtiririko mzuri wa damu – kusaidia moyo na misuli. Programu ya siku 90 – matokeo dhahiri ya afya bora mwilini, ngozi yenye mwangaza, na mwili wenye nguvu. Matokeo Yanayotarajiwa Kwa Kutumia Siku 90 Mfululizo Mwili wenye pH yenye usawa na afya bora ya ndani. Nishati zaidi na mwili usio na uchovu wa haraka. Ngozi yenye mwangaza, meno yenye afya, na nywele zinazoonekana zenye nguvu. Kuimarika kwa mmeng’enyo wa chakula na kuondoa sumu mwilini. Kuimarika kwa kinga na kupunguza hatari ya magonjwa ya mara kwa mara. Bei za Programu Siku 15: Tsh 60,000 Mwezi 1: Tsh 180,000 Miezi 3: Tsh 540,000 Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093

TSH 60,000

  • Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-89d8837e-dc88-44d3-8f90-0a09a35bdebc