Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic

Afya Yako Ni
Kipaumbele Kwetu

Tupo kukusikiliza, kukuelewa, na kukuhudumia kwa uaminifu kupitia ushauri wa kitaalamu na suluhisho salama la kiafya, tunakuongoza kulingana na mahitaji yako halisi. Tunajali faragha yako, tunakufuatilia kwa karibu, tunakuwa nawe kila hatua ili kukusaidia kurejesha afya na ubora wa maisha yako.

Wellness Hero
Heart Health
Premium Care
4.9/5 Rating
Trusted by 50K+
Our Story

About Okoa Mwili Natura-Ceutical Clini

OKOA MWILI NATURA-CEUTICAL CLINIC Mahali ambapo mwili unarejeshewa mwelekeo wake wa asili. Sio kila tatizo la afya linahitaji kelele, hofu au majaribio yasiyo na mpangilio. Wakati mwingine, kinachohitajika ni uelewa sahihi wa mwili, mpangilio wa lishe unaoendana na hali halisi ya mtu, na msaada wa kitaalamu unaoheshimu safari yake binafsi ya afya. Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic ni kituo cha ushauri na ufuatiliaji wa afya kinacholenga chanzo cha tatizo, si dalili pekee. Tunafanya kazi na mwili—sio dhidi yake—kwa kutumia mbinu jumuishi zinazochanganya elimu ya lishe, marekebisho ya mtindo wa maisha, na virutubisho vya asili vilivyochaguliwa kwa uangalifu mkubwa. Tunatofautiana kwa sababu: -Hatutoi suluhisho la jumla; kila mpango ni wa mtu mmoja mmoja. -Hatuharakishi mwili; tunauandaa, kuusawazisha na kuurudisha kwenye mstari wake wa kazi asilia. -Hatuhubiri; tunaeleza, tunaongoza na tunafuatilia hadi mabadiliko yaonekane. Kuanzia changamoto za uzazi, homoni, mmeng’enyo, uzito, uchovu usioelezeka hadi afya ya viungo muhimu kama ini na figo—Okoa Mwili huanza kwa kusikiliza, kisha hutengeneza mfumo sahihi wa hatua unaoendana na hali ya mhusika. Hii si huduma ya mtu kujaribu na kuacha. Ni mahali pa mtu anayechoka kubahatisha, na anataka utaratibu unaoeleweka, unaopimika na unaoheshimu afya yake ya muda mrefu. Okoa Mwili si tu kliniki. Ni mshirika wa kimya anayekusaidia kurudisha udhibiti wa mwili wako—kwa utulivu, kwa mpangilio, na kwa matokeo. Mwili ukielewa nini cha kufanya, huanza kujitibu wenyewe.
Certified Experts
Community Focused
Trusted Care
Professional Care

Our Services

View All
60 min

UZITO RESET 90™ – Huduma ya Usimamizi Binafsi wa Kupunguza Uzito, Kitambi & Nyama Uzembe

MAELEZO YA HUDUMA
UZITO RESET 90™

UZITO RESET 90™ ni programu ya siku 90 ya usimamizi wa karibu kila siku inayolenga:

Kuondoa uzito mkubwaKupunguza kitambiKuimarisha umbo (nyama uzembe)


Hii si dawa ya miujiza, bali ni mfumo unaofanya kazi unaozingatia:

Hali halisi ya afya yakoRatiba yako ya maishaMalengo yako binafsi


Unasimamiwa hatua kwa hatua mpaka uone mabadiliko ya kweli.


UNACHOPATA (FAIDA KUU)

Usimamizi wa kila siku kwa siku 90 – hauko peke yako kwenye safari

Ushauri binafsi (1:1) kulingana na afya, umri, jinsia na ratiba yako

Mpango wa lishe uliobinafsishwa (vyakula vya Kitanzania vinavyopatikana kirahisi)

Ujumbe wa ukumbusho & motisha kila siku

Mwongozo wa maji, muda sahihi wa kula & mbinu za kuchoma mafuta

Ufuatiliaji wa maendeleo (uzito, tumbo, mabadiliko ya mwili)

Elimu ya tabia za kula ili matokeo yadumu muda mrefu

Marekebisho ya mpango pale inapohitajika endapo afya au mazingira yatabadilika


INAWALENGA NANI?

✔ Wenye uzito mkubwa au kitambi sugu

✔ Waliokata tamaa baada ya kujaribu njia nyingi bila mafanikio

✔ Wanaotaka mabadiliko ya kweli, si ya muda mfupi

✔ Wanaohitaji msimamizi wa karibu ili wabaki kwenye mpango


MATOKEO UNAYOTARAJIA

🔥 Kupungua kwa uzito & kitambi kwa njia salama

💪 Kuimarika kwa umbo, nguvu na wepesi wa mwili

🧠 Nidhamu ya kula & uelewa wa mwili kuongezeka

♻️ Matokeo ya kudumu, si kurudi nyuma haraka


GHARAMA YA HUDUMA

💰 Tsh 50,000 tu – kwa siku 90 kamili

(Ada hii ni kwa usimamizi wa kila siku, ushauri binafsi, na ufuatiliaji wa maendeleo)


JINSI YA KUJIUNGA

📩 Tuma ujumbe: “UZITO RESET 90”

📲 WhatsApp / Piga simu: 0767 716 093


Anza leo.

Badilisha mwili wako kwa mfumo unaokuelewa, unaokusimamia, na unaokusukuma mpaka uone matokeo.

TSH 50,000 View Details
60 min

Ushauri wa Afya- Kufika Ofisini Bila Kuchukua Tiba

Huduma hii inalenga mtu anayehitaji tathmini ya kina ya afya yake na mwongozo sahihi wa kuboresha afya na mtindo wa maisha, kwa njia salama, ya kitaalamu na ya faragha.

Ni huduma ya mtu mmoja mmoja, inayozingatia hali halisi ya mwili wako — si ushauri wa jumla.


NDANI YA DAKIKA 60, UNAPATA:

Uchunguzi wa awali wa afya

Ushauri wa kina wa kiafya

Mpango binafsi wa wiki 4 kulingana na mahitaji yako halisi


HUDUMA INAJUMUISHA:

📝 Fomu ya tathmini ya afya & mtindo wa maisha

— historia ya afya, lishe, usingizi, shughuli na changamoto zako


🥗 Mpango wa lishe uliobinafsishwa

— unaoendana na hali ya mwili wako na malengo yako


🏋️ Mwongozo wa mazoezi ya nguvu & uimara

— (strength & endurance) kulingana na uwezo wako


🧠 Ushauri binafsi wa kitaalamu

— kuelewa chanzo cha changamoto zako na hatua sahihi za kuchukua


📲 Follow-up ya karibu kupitia WhatsApp

— kukusaidia kutekeleza mpango kwa usahihi


🎁 Bonus: Video au sample za msaada

— kulingana na mahitaji yako binafsi


MAHALI PA HUDUMA

📍 Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic

Kinondoni, Dar es Salaam


GHARAMA & MALIPO

💰 Tsh 100,000 tu


💳 Malipo yanaweza kufanyika:

✔ Kwa simu

✔ Moja kwa moja ofisini


👉 Jisajili leo na chukua hatua ya kuboresha afya yako ndani ya wiki 4 kwa mwongozo sahihi.


📞 Wasiliana nasi:

+255 767 716 093

TSH 100,000 View Details
60 min

Online (Ushauri Binafsi Inbox Kwako Kwa Siku 30)

HUDUMA YA USHAURI BINAFSI(1–ON–1 CONSULTATION)


Huu ni mpango maalum wa mtu mmoja kwa mmoja (1–on–1) unaomlenga mtu anayehitaji msaada wa karibu, wa kina na wa siri kuhusu afya yake, kulingana na hali halisi ya mwili wake.


HUDUMA HII INALENGA:

✔ Afya ya uzazi (mwanaume na mwanamke)

✔ Nguvu za kiume na utendaji wa uzazi

✔ Kupunguza uzito mkubwa & kitambi

✔ Matatizo ya ini

✔ Magonjwa ya figo

✔ Matatizo ya ngozi

✔ Matatizo ya mifupa

✔ Magonjwa ya moyo na mishipa

✔ Utendaji wa mwili na afya kwa ujumla


UNACHOPATA KUPITIA USHAURI HUU

Kupitia mawasiliano ya mtandaoni, unapata:


🧠 Ushauri wa siri na wa faragha (1–on–1)

— bila aibu, bila hukumu, bila shinikizo


💬 Majibu ya kina ya maswali yako yote

— yakizingatia historia yako ya afya, dalili na malengo


🥗 Mpango binafsi wa tiba asili

— juisi, lishe, ratiba na dozi vinavyolingana na mwili wako na changamoto zako


📅 Ufuatiliaji wa siku 30

— kuhakikisha unaelewa mpango, unatekeleza kwa usahihi, na unaanza kuona mabadiliko halisi


LENGO LA HUDUMA

🎯 Huduma hii inalenga kutatua chanzo cha tatizo, si kuficha dalili, kwa kutumia:

✔ Elimu sahihi ya afya

✔ Lishe inayofaa mwili wako

✔ Mabadiliko ya mtindo wa maisha yanayodumu


GHARAMA & UPATIKANAJI

💰 Tsh 50,000 (USD 21) tu kwa siku 30


Nafasi ni chache kwa mwezi – watu 5 tu

(Hii ni kuhakikisha kila mshiriki anapata usimamizi wa kweli na wa karibu)


👉 Ushauri wa kweli huanza kwa kuuelewa mwili wako,

na kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi.


📲 Wasiliana sasa ili kuhifadhi nafasi yako.

TSH 50,000 View Details
Curated for You

Featured Products

View All

No products found

Check back soon for our latest collection.

Self-Paced Learning

Personal Growth Courses

View All
UCHOVU USIOELEZEKA, UZITO UNAOKATAA KUSHUKA, NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA: Je, Mwili Wako Unakuomba Kutoa Sumu
Certified
UCHOVU USIOELEZEKA, UZITO UNAOKATAA KUSHUKA, NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA: Je, Mwili Wako Unakuomba Kutoa Sumu
Uchovu usioisha, tumbo kujaa gesi, uzito unaokataa kushuka na magonjwa yanayojirudia mara nyingi siyo bahati mbaya—ni ishara kuwa mwili wako umelemewa na sumu na ini limechoka. Detox sahihi siyo kufunga kula bila mpango, bali ni kuandaa mwili, kulinda ini, na kuurejesha katika hali yake ya asili. Ukichelewa kuchukua hatua, dalili huongezeka; ukianza sasa, mwili huanza kujirekebisha.
TSH 3,000 Learn More
Usiendelee Kujilaumu: Uzito Mkubwa Una Sababu, Na Una Suluhisho Salama na la Kudumu
Certified
Usiendelee Kujilaumu: Uzito Mkubwa Una Sababu, Na Una Suluhisho Salama na la Kudumu
Umechoka kujaribu diet, mazoezi, chai na dawa za kupunguza uzito bila mafanikio ya kudumu? Kitambi, tumbo la chini na nyama uzembe bado vipo palepale? 👉 Ukweli ni huu: tatizo sio wewe, bali mbinu ulizotumia. Hii ni course ya miezi 3 iliyotengenezwa kwa Mtanzania halisi, anayekula vyakula vya Kitanzania, ana stress na muda mdogo. 🔥 SI COURSE YA KAWAIDA Ni mfumo kamili unaokufundisha: -Kwa nini uzito wako umekwama -Jinsi homoni, stress na muda wa kula vinavyojenga kitambi -Namna ya kula bila njaa wala kujinyima -Njia salama ya kuondoa tumbo la chini kwa kudumu 💡 UTAJIFUNZA: ✔ Chanzo halisi cha uzito wako ✔ Mpangilio kamili wa lishe ya Kitanzania ✔ Sharubati na tiba za asili zinazofanya kazi ✔ Mazoezi rahisi ya nyumbani ✔ Mpango wa wiki hadi wiki bila kuchanganyikiwa ⏳ MATOKEO: -Siku 14: tumbo na gesi kupungua -Siku 30: nguo kukaa vizuri -60: kitambi kushuka wazi -Siku 90: mfumo mpya wa maisha bila kurudia uzito Hii si ya siku 7. 👉 Ni mabadiliko ya maisha yako.
TSH 1,000 Learn More
USIJARIBU KUSHIKA UJAUZITO KABLA HUJAPITIA HII SAFARI YA MIEZI 3
Certified
USIJARIBU KUSHIKA UJAUZITO KABLA HUJAPITIA HII SAFARI YA MIEZI 3
Mwongozo wa vitendo unaomwandaa mwanamke wa Kitanzania kuurekebisha mwili, kusawazisha homoni na kujiandaa kushika ujauzito haraka, salama na kwa matumaini mapya. “SAFARI YA KUANDAA MWILI, AKILI NA ROHO KWA AJILI YA UJAUZITO” Hii siyo course ya kukukimbiza kushika mimba kesho. Ni course ya kukuandaa kushika mimba kwa usalama, kudumu na kwa baraka.
TSH 50,000 Learn More
Limited Time Offer

Jinyakulie Package Zetu kwa Punguzo la 20%

Tunatoa huduma jumuishi za afya na lishe zinazopatikana nyumbani au kupitia vituo vyetu washirika. Huduma zetu zimejikita kwenye ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa karibu, na kuboresha afya kwa njia salama na endelevu.

Chagua Package ya Tatizo Lako Hapa