In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)
C24/7 Natura-Ceutical; 1Rp
C24/7 Natura-Ceutical
AINA
Virutubisho vya lishe (Natural Ceutical Supplement)
KUSUDI KUU
Kurejesha afya ya mwili kwa ujumla kwa kusawazisha homoni, kuimarisha viungo vya ndani, kuongeza nguvu za mwili na kusaidia uzazi kwa wanaume na wanawake.
FAIDA KUU ZA C24/7 NATURA-CEUTICAL
1. Usawazishaji wa Homoni
Husaidia kurekebisha homoni za uzazi (estrogen, progesterone, testosterone)
Hutibu dalili za hormonal imbalance kama:
Hedhi zisizo na mpangilio
Maumivu makali ya hedhi
Ukavu ukeni
Kupungua hamu ya tendo la ndoa
2. Kuimarisha Afya ya Uzazi
Huongeza ubora wa mayai kwa mwanamke
Huboresha ubora na wingi wa mbegu kwa mwanaume
Huandaa mwili kushika ujauzito kwa haraka
Husaidia kwa wanandoa waliokosa mtoto bila tatizo linaloonekana hospitalini
3. Kuimarisha Kinga ya Mwili
Hutibu magonjwa yanayojirudia rudia
Husaidia mwili kujisafisha sumu (detox ya asili)
Huondoa uchovu wa mara kwa mara
4. Afya ya Ini, Damu na Mfumo wa Mmeng’enyo
Huboresha kazi ya ini
Husaidia kusafisha damu
Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi tumboni
5. Nguvu za Mwili na Akili
Huongeza stamina
Huboresha usingizi
Huongeza umakini na nguvu ya kufikiri
MAPENDEKEZO YA MATUMIZI (RECOMMENDATION)
DOZI ILIYOPENDEKEZWA
Matumizi hutolewa na daktari kutokana na uhalisia wa tatizo husika na umri wa mtu.
MPANGO WA MATUMIZI YA SIKU 90 (MATOKEO MAZURI ZAIDI)
Siku 1–30
Mwili unaanza kusafishwa ndani
Kupungua maumivu ya hedhi na dalili za homoni
Kuongezeka nguvu za mwili
Kuboresha usingizi
Siku 31–60
Mzunguko wa hedhi unaanza kuwa wa kawaida
Kuongezeka ute wa uzazi kwa wanawake
Kuimarika hamu ya tendo la ndoa
Kuboresha ubora wa mbegu kwa wanaume
Siku 61–90
Homoni zinakuwa sawa zaidi
Mwili unakuwa tayari kushika ujauzito
Afya ya uzazi inaimarika kwa kiwango kikubwa
Matokeo chanya ya muda mrefu kwa afya ya mwili mzima
NANI ANASHAURIWA KUTUMIA
Wanawake wenye changamoto za uzazi
Wanaume wenye mbegu hafifu au nguvu ndogo
Wenye hedhi zisizo na mpangilio
Wenye uchovu wa kudumu
Wanaotaka kuandaa mwili kwa ujauzito
Wanaotaka afya bora ya mwili kwa ujumla
Bei za C24/7 Natura-Ceutical:
-Siku 5; Sh 35,000/=
-Siku 10: Sh 70,000/=
-Siku 15: Sh 105,000
-Mwezi 1: Sh 210,000
-Miezi 3: Sh 630,000
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 35,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 100 Units
- SKU PROD-01395f41-7d6c-4524-aeb5-b9653853baa3