C24/7 Natura-Ceutical
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)

C24/7 Natura-Ceutical

4.9 (128 Reviews)
C24/7 Natura-Ceutical AINA Virutubisho vya lishe (Natural Ceutical Supplement) KUSUDI KUU Kurejesha afya ya mwili kwa ujumla kwa kusawazisha homoni, kuimarisha viungo vya ndani, kuongeza nguvu za mwili na kusaidia uzazi kwa wanaume na wanawake. FAIDA KUU ZA C24/7 NATURA-CEUTICAL 1. Usawazishaji wa Homoni Husaidia kurekebisha homoni za uzazi (estrogen, progesterone, testosterone) Hutibu dalili za hormonal imbalance kama: Hedhi zisizo na mpangilio Maumivu makali ya hedhi Ukavu ukeni Kupungua hamu ya tendo la ndoa 2. Kuimarisha Afya ya Uzazi Huongeza ubora wa mayai kwa mwanamke Huboresha ubora na wingi wa mbegu kwa mwanaume Huandaa mwili kushika ujauzito kwa haraka Husaidia kwa wanandoa waliokosa mtoto bila tatizo linaloonekana hospitalini 3. Kuimarisha Kinga ya Mwili Hutibu magonjwa yanayojirudia rudia Husaidia mwili kujisafisha sumu (detox ya asili) Huondoa uchovu wa mara kwa mara 4. Afya ya Ini, Damu na Mfumo wa Mmeng’enyo Huboresha kazi ya ini Husaidia kusafisha damu Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi tumboni 5. Nguvu za Mwili na Akili Huongeza stamina Huboresha usingizi Huongeza umakini na nguvu ya kufikiri MAPENDEKEZO YA MATUMIZI (RECOMMENDATION) DOZI ILIYOPENDEKEZWA Matumizi hutolewa na daktari kutokana na uhalisia wa tatizo husika na umri wa mtu. MPANGO WA MATUMIZI YA SIKU 90 (MATOKEO MAZURI ZAIDI) Siku 1–30 Mwili unaanza kusafishwa ndani Kupungua maumivu ya hedhi na dalili za homoni Kuongezeka nguvu za mwili Kuboresha usingizi Siku 31–60 Mzunguko wa hedhi unaanza kuwa wa kawaida Kuongezeka ute wa uzazi kwa wanawake Kuimarika hamu ya tendo la ndoa Kuboresha ubora wa mbegu kwa wanaume Siku 61–90 Homoni zinakuwa sawa zaidi Mwili unakuwa tayari kushika ujauzito Afya ya uzazi inaimarika kwa kiwango kikubwa Matokeo chanya ya muda mrefu kwa afya ya mwili mzima NANI ANASHAURIWA KUTUMIA Wanawake wenye changamoto za uzazi Wanaume wenye mbegu hafifu au nguvu ndogo Wenye hedhi zisizo na mpangilio Wenye uchovu wa kudumu Wanaotaka kuandaa mwili kwa ujauzito Wanaotaka afya bora ya mwili kwa ujumla Bei za C24/7 Natura-Ceutical: -Siku 15: Sh 105,000 -Mwezi 1: Sh 210,000 -Miezi 3: Sh 630,000 Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093

TSH 105,000

  • Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
  • Availability 85 Units
  • SKU PROD-0a7a8767-9c06-4006-a608-089c80f446e3