In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Uzazi wa Mwanamke na Mwanaume
Faida za Mwongozo wa Lishe kwa Magonjwa ya Uzazi (Mwanamke na Mwanaume)
Kusawazisha homoni – husaidia kurekebisha estrogen, progesterone na testosterone kwa njia ya chakula sahihi.
Kuboresha mzunguko wa hedhi – hupunguza hedhi zisizo za kawaida, maumivu makali na damu nyingi.
Kuongeza uwezo wa kushika ujauzito – huandaa mwili kwa ovulation bora na mazingira salama ya mimba.
Kuboresha afya ya mbegu za mwanaume – huongeza idadi, uimara na uhai wa mbegu.
Kupunguza uvimbe wa uzazi – husaidia kudhibiti fibroids, cyst na maumivu ya nyonga.
Kuongeza hamu ya tendo la ndoa – hurejesha nguvu ya mwili na hisia za kimahusiano.
Kupunguza msongo wa mawazo – lishe sahihi huimarisha akili na usingizi, muhimu kwa uzazi.
Kuimarisha mfumo wa kinga – hupunguza maambukizi ya mara kwa mara (kama UTI).
Kudhibiti uzito na mafuta tumboni – uzito sahihi huongeza nafasi ya mafanikio ya uzazi.
Matokeo ya kudumu bila madhara – hutibu chanzo cha tatizo badala ya kuficha dalili.
👉 Kwa ujumla, mwongozo wa lishe huweka msingi imara wa afya ya uzazi kwa wanandoa wote wawili na huongeza uwezekano wa kupata mtoto kwa njia salama na ya asili.
KUMBUKA; Kwa matokeo ya Haraka zingatia mwongozo wa lishe na CPE Natura-Ceutical (Mwanamke) au Rjali Kit (Mwanaume) kwa miezi 3 mfululizo
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 100 Units
- SKU PROD-421ac790-f963-47a6-a4da-871d3a0930d5