Mwongozo wa Lishe wa Kupunguza Uzito Haraka
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook

Mwongozo wa Lishe wa Kupunguza Uzito Haraka

4.9 (128 Reviews)
Faida kuu za Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa wa Kupunguza Uzito, Kitambi na Nyama Uzembe: Hupunguza uzito taratibu na salama bila kudhoofisha mwili Huvunja mafuta sugu ya tumboni (kitambi) na sehemu ngumu kama mapaja na mikono Hupunguza nyama uzembe (cellulite) na kuboresha muonekano wa ngozi Husawazisha homoni zinazochangia unene na kushindwa kupungua uzito Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi, kujaa tumbo na constipation Husaidia kudhibiti sukari na presha ya damu, hasa kwa wenye magonjwa sugu Huongeza nguvu na uchangamfu wa mwili (body energy) bila kuchoka haraka Hupunguza hamu ya kula kupita kiasi, hasa vyakula vya sukari na wanga mwingi Hulinda ini na figo, kusaidia mwili kutoa sumu (detox) kwa ufanisi Hutoa mpangilio rahisi wa chakula cha kila siku, unaotekelezeka nyumbani bila gharama kubwa KUMBUKA; Mwongozo huu unalenga kutibu chanzo cha unene, siyo kuficha dalili, hivyo matokeo yake hudumu zaidi ukiufuata kwa nidhamu. Kwa matokeo ya Haraka, tumia Mwongozo wa lishe na Tiba ya SLIM PACK kwa siku 90 mfululizo

TSH 10,000

  • Category eBook
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-5e8b2361-d551-4fcc-a6e5-ceff15683af8