In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Mifupa
FAIDA ZA MWONGOZO WA LISHE WA MAGONJWA YA MIFUPA
Husaidia kupunguza maumivu ya mifupa na viungo kwa njia ya asili
Hupunguza uvimbe na uchochezi (inflammation) mwilini
Huimarisha gegedu (cartilage) na kulinda viungo visiharibike haraka
Husaidia kurekebisha kiwango cha calcium, vitamin D na magnesium mwilini
Huboresha nguvu na uimara wa mifupa, hasa kwa wenye osteoporosis
Hupunguza kukakamaa kwa viungo asubuhi au wakati wa baridi
Husaidia kudhibiti uric acid kwa wenye gout
Huboresha mzunguko wa damu kwenye mifupa na viungo
Husaidia kupunguza uzito uliopitiliza unaoongeza mzigo kwenye magoti na mgongo
Huongeza uwezo wa kutembea na kufanya shughuli bila maumivu makali
Husaidia kupunguza matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu
Huimarisha afya ya misuli, mishipa na tishu zinazoshikilia mifupa
👉 Mwongozo huu hujikita kwenye vyakula vya asili, ratiba sahihi ya mlo, vinywaji tiba na mtindo wa maisha unaolinda mifupa kwa muda mrefu.
Kwa matokeo bora na ya Haraka, nakushauri kupata Boneflex package ili kutibu matatizo ya mifupa haraka
Kwa Taarifa zaidi tupigie au Whatsapp +255767716093
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 99 Units
- SKU PROD-cd8619a1-8eb7-4505-bb43-0c44dd540efb