Afya Yako Ni
Kipaumbele Kwetu
Tupo kukusikiliza, kukuelewa, na kukuhudumia kwa uaminifu kupitia ushauri wa kitaalamu na suluhisho salama la kiafya, tunakuongoza kulingana na mahitaji yako halisi. Tunajali faragha yako, tunakufuatilia kwa karibu, tunakuwa nawe kila hatua ili kukusaidia kurejesha afya na ubora wa maisha yako.
About Okoa Mwili Natura-Ceutical Clini
Our Services
UZITO RESET 90™ – Huduma ya Usimamizi Binafsi wa Kupunguza Uzito, Kitambi & Nyama Uzembe
UZITO RESET 90™
UZITO RESET 90™ ni programu ya siku 90 ya usimamizi wa karibu kila siku inayolenga:
Kuondoa uzito mkubwaKupunguza kitambiKuimarisha umbo (nyama uzembe)Hii si dawa ya miujiza, bali ni mfumo unaofanya kazi unaozingatia:
Hali halisi ya afya yakoRatiba yako ya maishaMalengo yako binafsiUnasimamiwa hatua kwa hatua mpaka uone mabadiliko ya kweli.
✅ Usimamizi wa kila siku kwa siku 90 – hauko peke yako kwenye safari
✅ Ushauri binafsi (1:1) kulingana na afya, umri, jinsia na ratiba yako
✅ Mpango wa lishe uliobinafsishwa (vyakula vya Kitanzania vinavyopatikana kirahisi)
✅ Ujumbe wa ukumbusho & motisha kila siku
✅ Mwongozo wa maji, muda sahihi wa kula & mbinu za kuchoma mafuta
✅ Ufuatiliaji wa maendeleo (uzito, tumbo, mabadiliko ya mwili)
✅ Elimu ya tabia za kula ili matokeo yadumu muda mrefu
✅ Marekebisho ya mpango pale inapohitajika endapo afya au mazingira yatabadilika
INAWALENGA NANI?
✔ Wenye uzito mkubwa au kitambi sugu
✔ Waliokata tamaa baada ya kujaribu njia nyingi bila mafanikio
✔ Wanaotaka mabadiliko ya kweli, si ya muda mfupi
✔ Wanaohitaji msimamizi wa karibu ili wabaki kwenye mpango
MATOKEO UNAYOTARAJIA
🔥 Kupungua kwa uzito & kitambi kwa njia salama
💪 Kuimarika kwa umbo, nguvu na wepesi wa mwili
🧠 Nidhamu ya kula & uelewa wa mwili kuongezeka
♻️ Matokeo ya kudumu, si kurudi nyuma haraka
GHARAMA YA HUDUMA
💰 Tsh 50,000 tu – kwa siku 90 kamili
(Ada hii ni kwa usimamizi wa kila siku, ushauri binafsi, na ufuatiliaji wa maendeleo)
📩 Tuma ujumbe: “UZITO RESET 90”
📲 WhatsApp / Piga simu: 0767 716 093
Anza leo.
Badilisha mwili wako kwa mfumo unaokuelewa, unaokusimamia, na unaokusukuma mpaka uone matokeo.
Ushauri wa Afya- Kufika Ofisini Bila Kuchukua Tiba
Huduma hii inalenga mtu anayehitaji tathmini ya kina ya afya yake na mwongozo sahihi wa kuboresha afya na mtindo wa maisha, kwa njia salama, ya kitaalamu na ya faragha.
Ni huduma ya mtu mmoja mmoja, inayozingatia hali halisi ya mwili wako — si ushauri wa jumla.
✅ Uchunguzi wa awali wa afya
✅ Ushauri wa kina wa kiafya
✅ Mpango binafsi wa wiki 4 kulingana na mahitaji yako halisi
HUDUMA INAJUMUISHA:
📝 Fomu ya tathmini ya afya & mtindo wa maisha
— historia ya afya, lishe, usingizi, shughuli na changamoto zako
🥗 Mpango wa lishe uliobinafsishwa
— unaoendana na hali ya mwili wako na malengo yako
🏋️ Mwongozo wa mazoezi ya nguvu & uimara
— (strength & endurance) kulingana na uwezo wako
🧠 Ushauri binafsi wa kitaalamu
— kuelewa chanzo cha changamoto zako na hatua sahihi za kuchukua
📲 Follow-up ya karibu kupitia WhatsApp
— kukusaidia kutekeleza mpango kwa usahihi
🎁 Bonus: Video au sample za msaada
— kulingana na mahitaji yako binafsi
MAHALI PA HUDUMA
📍 Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic
Kinondoni, Dar es Salaam
GHARAMA & MALIPO
💰 Tsh 100,000 tu
💳 Malipo yanaweza kufanyika:
✔ Kwa simu
✔ Moja kwa moja ofisini
👉 Jisajili leo na chukua hatua ya kuboresha afya yako ndani ya wiki 4 kwa mwongozo sahihi.
📞 Wasiliana nasi:
+255 767 716 093
Online (Ushauri Binafsi Inbox Kwako Kwa Siku 30)
Huu ni mpango maalum wa mtu mmoja kwa mmoja (1–on–1) unaomlenga mtu anayehitaji msaada wa karibu, wa kina na wa siri kuhusu afya yake, kulingana na hali halisi ya mwili wake.
✔ Afya ya uzazi (mwanaume na mwanamke)
✔ Nguvu za kiume na utendaji wa uzazi
✔ Kupunguza uzito mkubwa & kitambi
✔ Matatizo ya ini
✔ Magonjwa ya figo
✔ Matatizo ya ngozi
✔ Matatizo ya mifupa
✔ Magonjwa ya moyo na mishipa
✔ Utendaji wa mwili na afya kwa ujumla
Kupitia mawasiliano ya mtandaoni, unapata:
🧠 Ushauri wa siri na wa faragha (1–on–1)
— bila aibu, bila hukumu, bila shinikizo
💬 Majibu ya kina ya maswali yako yote
— yakizingatia historia yako ya afya, dalili na malengo
🥗 Mpango binafsi wa tiba asili
— juisi, lishe, ratiba na dozi vinavyolingana na mwili wako na changamoto zako
📅 Ufuatiliaji wa siku 30
— kuhakikisha unaelewa mpango, unatekeleza kwa usahihi, na unaanza kuona mabadiliko halisi
LENGO LA HUDUMA
🎯 Huduma hii inalenga kutatua chanzo cha tatizo, si kuficha dalili, kwa kutumia:
✔ Elimu sahihi ya afya
✔ Lishe inayofaa mwili wako
✔ Mabadiliko ya mtindo wa maisha yanayodumu
GHARAMA & UPATIKANAJI
💰 Tsh 50,000 (USD 21) tu kwa siku 30
⏳ Nafasi ni chache kwa mwezi – watu 5 tu
(Hii ni kuhakikisha kila mshiriki anapata usimamizi wa kweli na wa karibu)
👉 Ushauri wa kweli huanza kwa kuuelewa mwili wako,
na kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi.
📲 Wasiliana sasa ili kuhifadhi nafasi yako.
Featured Products
No products found
Check back soon for our latest collection.
Personal Growth Courses
UCHOVU USIOELEZEKA, UZITO UNAOKATAA KUSHUKA, NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA: Je, Mwili Wako Unakuomba Kutoa Sumu
Usiendelee Kujilaumu: Uzito Mkubwa Una Sababu, Na Una Suluhisho Salama na la Kudumu
USIJARIBU KUSHIKA UJAUZITO KABLA HUJAPITIA HII SAFARI YA MIEZI 3
What Our Clients Say
Join thousands of satisfied patients who have improved their health journey with OkoaMwili.
Jinyakulie Package Zetu kwa Punguzo la 20%
Tunatoa huduma jumuishi za afya na lishe zinazopatikana nyumbani au kupitia vituo vyetu washirika. Huduma zetu zimejikita kwenye ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa karibu, na kuboresha afya kwa njia salama na endelevu.
Chagua Package ya Tatizo Lako Hapa